US Weekly imeripoti kuwa sherehe ilikuwa na watu 30 tu wakiwemo
marafiki zake ambao ni Beyoncé na Michelle Williams. Pia Solange na Tina
Knowles walikuwepo.
Jumamosi iliyopita Beyonce alionekana Instagram akiwa amevalia gauni
kama vile alisimamia harusi. Hii ndio mara ya kwanza anaolewa Kelly
Rowland mwenye miaka 33 ambaye alikuwa kwenye uchumba na Roy Williams
kabla ya kuachana naye January 2005.

إرسال تعليق