
Familia nzima ya Kim pamoja na Khloe, Kourtney, Kendall, Kylie, Kris and ROB – wameonekana wakifika France siku mbili zilizopita. Lakini Bruce Jenner na wanae wawili Brody na Brandon bado hawajafika, ila inasemekana Bruce ndiye atakae mkabidhi kim kwa Kanye kanisani.
Sherehe yao itafanyika baada ya siku kadhaa huko Versailles na Florence, Italy.
Kim ameonekana akiwa na mtoto wake, katika matembezi hayo ya maandalizi ya harusi yake katka sehem tofaut tofauti..

Post a Comment