Mlezi
wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale
(kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya
habari kuhusu tiba asilia katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es
Salaam. (kulia), Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.
Kingunge
amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na
badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili
Lucey
Samwel, kutoka kitengo cha Tiba asilia Wizara ya Afya akiwakilisha mada
ya sera ya Afya, Sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala, pamoja na
taarifa mbalimbali zinazohusu Tiba Asilia na udhaifu katika usimamizi wa
sheria ya TATM ya mwaka 2002.
Mkurugenzi wa Paseko T.H.P, Othman Shem akielezea kuhusiana na Tiba Asili Tanzania na changamoto zake.
Mwanasheria kutoka AUDA, Onesimo Munuo (kushoto), akielezea mapungufu ya utekelezaji ya Tiba asili na mbadala.
Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali walihudhuria katika mafunzo hayo.
Mlezi
wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale.
Akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe mara baada ya kumalizika kwa
mafunzo hayo

Post a Comment