Leo
ni kumbukumbu ya Miaka 18 tangu itokee ajali iliyoua ndugu zetu zaidi
ya 700 ni ajali ambayo iligharimu roho za watu wengi ni ajali kubwa ya
majini ambayo ilitokea alfajili ya Mei 21 kilometa zipatazo 56 kutoka
bandari ya mwanza mjini.

Meli
kubwa ya mv bukoba iliundwa mwaka 1979 na ilikuwa na uwezo wa kubeba
mizigo tani 850 na abiria meli hiyo ambayo tangu kuundwa kwake mpaka
kuzama kwake ilikuwa na umri wa miaka 17 tu,marehemu wsa ajali hii
walizikwa kwenye makaburi ya Igoma yaliyopo jijini Mwanza.


Post a Comment