“Love Never Felt so good” – MJ & JT

20140502-074610.jpg

“Love Never Felt So Good” ni nyimbo iliyopo ndani ya track 8 kwenye album ya ‘Xscape’ ya King of pop ‘Michael Jackson’ ambayo amemshirikisha mwanamuziki ‘Justin Timberlake’ baada ya msanii huyo kuweka kwenye mtandao wa kijamii instagram picha ya cover la up coming album ya michael Jackson iliyoandikwa jina la nyimbo hiyo na kujulisha uma wa muziki duniani kuwa na yeye yupo ndani ya album ya mfalme wa muziki wa POP duniani.
‘Xscape’ album ambayo itakua na nyimbo 8 na inatarajiwa kuachiwa May 13 itakuwa na nyimbo ambazo hazijawahi kusikika popote duniani ambazo utengenezaji wa nyimbo hizo ukiongozwa na chini ya usimamizi wa producer “Timberland”, vile vile Rodney Jerkins, Stargate, Jorome “Jroc” Harmon na John MacClain ndio kati ya nyimbo zilizochaguliwa na CEO and Chairman wa EPiC Records L.A Reid. ‘XScape’
“Love Never Felt So Good”
“Chicago”
“Loving You”
“A Place With No Name”
“Slave To The Rhythm”
“Do You Know Where Your Children Are”
“Blue Gangsta”
“Xscape”
Hayo ndio majina ya nyimbo 8 zitakazokuwepo kwenye album ya MJ ijayo.

Post a Comment

Previous Post Next Post