Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi
wa habari(hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayo fanyika
kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Magreth Kinabo
---
HASSAN SILAYO- MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mizengo Pinda kesho atazindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu Mjini Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa Habari Msemaji wa
Serikali Bw. Assah Mwambene alisema kuwa Maadhimisho hayo yatakwenda sambamba
na Maafisa elimu wa Mikoa kutoa taarifa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari
kuhusu maendeleo ya sekta ya elimu katika mikoa yao.
“Maadhimisho ya wiki ya elimu yatakwenda sambamba
kwa taarifa mbalimbali kuhusu mafanikio katika sekta ya elimu kutolewa na
maafisa elimu wa mikoa ili kuwapa fursa wananchi kujua nini kimefanyika katika
sekta ya elimu”. Alisema Mwambene.
Pia Bw. Mwambene aliongeza kuwa katika maadhimisho
hayo shule mbalimbali za msingi na sekondari zilizofanya vizuri katika mitihani
ya kitaifa zitapewa zawadi.
Aidha Mwambene aliongeza kuwa wanafunzi walioandika
insha kuhusu Afrika Mashariki na SADC watapewa zawadi.
Maadhimisho hayo yatafungwa Tarehe kumi na Rais
Jakaya Kikwete mkoani Dodoma
RATIBA YA MIKUTANO YA WAANDISHI WA HABARI NA MAAFISA ELIMU WA MIKOA
S/N
|
TAREHE
|
MKOA
|
MHUSIKA
|
NAMBA YA SIMU
|
1
|
2/5/2014
|
DODOMA
|
BW.JUMA KAPONDA
|
0784 584863
|
MOROGORO
|
BIBI W. NKAYA
|
|||
2
|
3/5/2014
|
DSM
|
BW. R. MAPUNDA
|
0754 744536
|
PWANI
|
BW. YUSUPH KIPENGELE
|
|||
TANGA
|
BW. R. CHOMOLA
|
|||
3
|
4/5/2014
|
KILIMANJARO
|
BIBI. LUCY MALISA
|
|
TABORA
|
BW. J. MABEYO
|
|||
RUVUMA
|
BIBI. MAYASA HASHIM
|
|||
4
|
5/5/2014
|
KATAVI
|
BW. ERNEST HINJU
|
|
RUKWA
|
BW. S. MGINA
|
|||
LINDI
|
BW. GIFT ENOCK
|
|||
MTWARA
|
BW. HIPSON KIPENYA
|
|||
5
|
6/5/2014
|
MANYARA
|
BW. IBRAHIM MBANGO
|
|
NJOMBE
|
BW. SAID NYANSILO
|
|||
MBEYA
|
BW. R. NTYAMA
|
ARUSHA
|
BW. NESTORY MLOKA
|
|||
6
|
7/5/2014
|
MWANZA
|
BW. H. MAULID
|
0754 432691
|
MARA
|
BW. E. MPALILE
|
|||
GEITA
|
BIBI. E. BUCHUMA
|
|||
SIMIYU
|
BW. A. KAMAMBA
|
0764856644
|
||
7
|
8/5/2014
|
KIGOMA
|
BW. SALVATORY SHAURI
|
0754 361266
|
KAGERA
|
||||
SHINYANGA
|
BIBI. EVA MLOPA
|
|||
8
|
9/5/2014
|
IRINGA
|
BW. J. MNYIKAMBI
|
|
SINGIDA
|
BIBI. FATUMA KILIMIA
|
|||
9
|
10/5/2014
|
Post a Comment