
Kundi
kubwa la wanafunzi kutoka shule mbali mbali wakisherekea Maadhimisho ya
Siku ya Makumbusho Duniani yanayo adhimishwa Kitaifa katika Makumbusho
na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.

Kundi
kubwa la Wanafunzi walio udhuria maadhimisho yaSiku ya Makumbusho
Duniani katika Viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es
Salaama wakimsikiliza Mwendesha kipindi cha watoto, Bw Chance Ezekiel
(Uncle Bilinge) hayupo Pichani.

Pichani
ni Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) na safu nzima ya uongozaji wageni
wakiwa wanawanafunzi wa shule mbali mbali (hawapo pichani) katika
kipindi cha Chemsha bongo na Burudani ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya
Siku ya Makumbusho Duniani.

Mtaalam
wa Makumbusho Anna Minja akitoa maelezo kuhusu Makumbusho kwa kundi la
wanafunzi walio tembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es
Salaam.

Baadhi
ya wageni wakipokelewa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni ambapo
kunafanyika maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Tanzania. 18 Mei.

Wataalamu
wa Makumbusho ya Taifa wakiwa kwenye maandalizi ya Mwisho mwisho kabla
ya Ufunguzi Rasmi wa Ukumbi wa Kudumu wa Sanaa uliopo Makumbusho na
Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.

Sehemu
ya Ukumbi wa Kudumu wa Sanaa, unao tarajiwa kufunguliwa Rasmi hapo 18
Mei Makumusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.
Picha Na:- michuzi-matukio
إرسال تعليق