
nchi ya Nigeria imetangaza rasmi kuwa inaanza kutengeneza magari yao wenyewe, serikali ya NIGERIA imetangaza kuwa mwezi ujao magari ambayo yatakuwa yanatengezwa nchini humo yataanza kufanya kazi. Samuel Ortom, the Minister of State for Industry, Trade and Investment alitanzaza mjini ABUJA.

Chief Executive Officer of Nissan
Motors, Carlos Ghosn alisema utengenezaji wa “Made in Nigeria” 4×4 umeanza tokea April 2014, ambapo gari hizo zitakuwa zikitengenezwq kwenye kiwanda cha zamani ambacho kilikua kinatumika kuunganisha magari aina ya “Volkswagen”. Akizungumza na President Jonathan at kwenye ‘World Economic Forum’ huko Davos, Switzerland alisema, mjini Lagos, kiasi cha magari milioni 2 mpaka 3 yatakuwa yakitengenezwa kila mwaka kwa matumizi ya wanigeria.

“We are interested in producing popular cars, totally adapted to the needs of Nigerians. one of the goals of producing in Nigeria is to help reduce unemployment rate in the country”

إرسال تعليق