MAFUNZO KAMATI ZA MALIASILI

01 d0293
Mratibu mafunzo Yustino Msavi akiongea na wajumbe wa kamati za maliasili za vijiji vya Tarafa ya Pawaga katika Semina iliofadhiliwa na WWF kupitia mtandao wa mazingira wakimataifa MANET yaliofanyika katika ukumbi wa Mwanaima kijiji cha Itunundu Pawaga. mafunzo hayo yatafanyika pia kwa kamati zote za Maliasili na Askari wa Mbomipa tarafa ya Idodi ili kuwajengea uwezo wa kiutendaji.

02 4977d
Baadhi ya washiriki wa semina(Mnyalu)
03 08613
04 eef3b

Post a Comment

Previous Post Next Post