MAINDA AANZA KUIMBA KWAYA - SOMA HAPA

MSANII wa sinema Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’  aliyewahi kutamba na filamu za kidunia, sasa ameamua kuimba muziki wa Injili ikiwa ni kumtukuza Mungu na kujiandalia maisha mema ya peponi.
Msanii wa sinema Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’
Akipiga stori na mwandishi wetu juzi, staa huyo aliyekuwa akiitwa Mwanaidi na kubadili jina baada ya kuokoka, alisema: Vijana siku zote tuna nguvu, tuna muda wa kutosha hivyo tunapaswa BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Post a Comment

أحدث أقدم