
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald
Mengi (wa tatu kulia) akikata utepe kuzinduwa maonesho ya biashara ya
bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo jijini Dar es Salaam
yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia leo tarehe 15
hadi tarehe 17, 2014.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Dk. Reginald
Mengi, ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP,
akizungumza na wafanyabiashara wanaoshiriki maonesho ya biashara ya
bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania kabla ya kuyafungua rasmi
maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yameanza leo
tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.

Bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania zikioneshwa katika Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania.

Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (wa
pili kushoto) akitembelea mabanda mbalimbali mara baada ya kufungua
maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania leo
jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee
kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald
Mengi (wa tatu kulia) akitembelea mabanda mbalimbali mara baada ya
kufungua maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na
Tanzania leo jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond
Jubilee kuanzia leo tarehe 15 hadi tarehe 17, 2014.

Mkurugenzi
Mtendaji wa Jamii Media, wamiliki wa mtandao wa JamiiForums (kulia)
akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Jamii Media
wanaoshiriki maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na
Tanzania.

Bidhaa ya
wananchi wakiangalia bidhaa mbalimbali kutoka zinazooneshwa katika
Maonesho ya Biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzania
yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo ya kibiashara yakiendelea katika Maonesho ya Biashara ya
Bidhaa za Uturuki na Tanzania yakiendelea ndani ya Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam.
Picha ya
pamoja ya viongozi wakuu walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa
maonesho ya biashara ya bidhaa kutoka nchi za Uturuki na Tanzani. Picha zote na www.thehabari.com

إرسال تعليق