Mwimbaji huyo amelitaja jina la albam hiyo kuwa ni ‘Me. Iam Mariah’,
na amesema hilo ni jina aliloliandika kwenye mchoro wa kitoto wakati
akiwa na umri wa miaka mitatu na nusu na ameona ni bora alitumie hivi
sasa.
Na hivyo amewataka watu wasimhukumu kwa kuwa na jina la kitoto kwa
kuw alikuwa mdogo sana enzi hizo na hivyo ndivyo alivyokuwa akijipigia
picha yake binafsi.
“Please don’t judge me for such a simplistic title. Come on, I was
only three-and-a-half,” said Mariah. “It was a creative visualization of
how I saw myself with the purity of a child’s heart before it was ever
broken.”
Amesema albam hiyo itaachiwa rasmi May 27 mwaka huu japokuwa tayari watu wanaweza kuipata kwa kuweka order kwenye iTunes.
Albam hiyo ina nyimbo 15 na amewashirikisha Nas, Wale, Fabolous na
Miguel na imetayarishwa na Jermaine Dupri, Rodney Jerkins na wengine.
Hizi ni nyimbo 15 zitakazokuwemo kwenye albam hiyo na 3 za nyongeza.
1. “Cry.”
2. “Faded” 3.
“Dedicated” (feat. Nas)
4. “#Beautiful” (feat. Miguel) 5.
“Thirsty”
6. “Make It Look Good”
7. “You’re Mine (Eternal)”
8. “You Don’t Know What to Do” (feat. Wale)
9. “Supernatural”
10. “Meteorite”
11. “Camouflage”
12. “Money ($ * / …)” [feat. Fabolous]
13. “One More Try”
14. “Heavenly (No Ways Tired/Can’t Give Up Now)”
15. “Me. I Am Mariah…The Elusive Chanteuse” Deluxe 16. “It’s a Wrap”
(feat. Mary J. Blige) 17. “Betcha Gon’ Know” (feat. R. Kelly) 18. “The
Art of Letting Go”
Post a Comment