Mfahamu Laika ( Msanii wa Kenya mwenye asili ya Tanzania) - Video/Picha

1460162_10201539727590836_1900870256_n

1002996_10200436525811481_1866613320_n

268434_4312618489448_468398205_n 
Laika ni msanii aliyezaliwa nchini Kenya lakini robo ya maisha yake amekuwa nchini Tanzania. Mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania. Kwa sasa yupo Nairobi akiendelea na muziki pamoja na modelling. Mfahamu zaidi kwa video hiyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post