Mfahamu Laika ( Msanii wa Kenya mwenye asili ya Tanzania) - Video/Picha
Hisia0
Laika ni msanii aliyezaliwa nchini Kenya lakini robo ya maisha
yake amekuwa nchini Tanzania. Mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania. Kwa
sasa yupo Nairobi akiendelea na muziki pamoja na modelling. Mfahamu
zaidi kwa video hiyo.
إرسال تعليق