MKUBWA FELA AFUNGUKA SABABU YA MSANII SHAA KUTOPAFOMU KWENYE TUZO ZA KILLI JUMAMOSI ILIYOPITA,MLIMANI CITY.(Audio/Maelezo)

 

 
Usiku wa utoaji wa tuzo za Kili Music Awards Jumamosi iliyopita katika ukumbi wa Mlimani City,Dar msanii Sara Kaisi ‘shaa’ alitakiwa kupafomu, lakini mpaka muda unafika msanii huyo alikuwa hajatokea pande hizo ingawa madansa wake walikuwepo ukumbini hapo kwa ajili ya kupafomu.Clouds fm imepiga stori na meneja wa Shaa, Mkubwa Fela amefunguka ni kitu gani kilimtokea msanii huyo. 

Post a Comment

Previous Post Next Post