
Usiku
wa utoaji wa tuzo za Kili Music Awards Jumamosi iliyopita katika ukumbi
wa Mlimani City,Dar msanii Sara Kaisi ‘shaa’ alitakiwa kupafomu, lakini
mpaka muda unafika msanii huyo alikuwa hajatokea pande hizo ingawa
madansa wake walikuwepo ukumbini hapo kwa ajili ya kupafomu.
Clouds fm imepiga stori na meneja wa Shaa, Mkubwa Fela amefunguka ni kitu gani kilimtokea msanii huyo.


إرسال تعليق