Msanii maarufu na kipenzi cha wengi nchini Nigeria David Davido
Adeleke, ametoa malalamiko yake katika mtandao wa kijamii instagram jana
kuwa hakupendezewa na kitendo walichomfanyia idara ya uhamiaji nchini
Lagos Nigeria, baada ya kumsababishia kukosa ndege aliotaraji kupanda
kuelekea LONDON kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki, inasemekana
kuwa chanzo cha maafisa hao kumkwamisha Davido mpaka kumchelewesha
kuwahi kupanda ndege yake aliotakiwa kuondoka nayo ilikua ni Rushwa
ambayo imewatesa watu wengi na hasa wa airports nchini Nigeria.

Davido aliandika maneno haya katika ukurasa wake wa mtandao wa
kijamii instagram baada ya kukumbana na tatizo na safari yake
kushindikana.
“missed my flight to London! pissed! F*ckin immigration officers always harassing me because of money!! F*ck ni*gas.”
Dah!!!! Mizinga AIRPORT, waafrika tuache kurudishana nyuma.
إرسال تعليق