MoViE:- ’22 Jump Street’ inategemewa kufanya vizuri “Summer 2014″

20140529-084642-31602792.jpg
“22 Jump Street” ni “Action Movie” ambayo inatoka Summer 13th June 2014 inategemewa kuwa moja ya film kubwa sana na kutarajiwa kuangaliwa na watu wengi sana duniani. Movie hii ambayo imetengenezwa na Jonah Hill na Channing Tatum, “Script by Michael Bacall and Oren Uziel” kutoka kwenye “story by Hill and Bacall” na “directed by Phil Lord and Chris Miller”. “22 Jump Street” ni muendelezo wa filamu ambayo ilianza mwaka 2012 kwa filamu ijulikanayo kama “21 Jump Street” ambayo inafurahisha vya kutosha kutaka kuangalia inayofuata.
20140530-224618-81978161.jpghttp://www.gongamx.com/wp-content/uploads/2014/05/20140530-224618-81978085.jpg

Post a Comment

Previous Post Next Post