MoVIE:- Hii Ndio trailer ya Filamu Mpya ya Jay Z na Beyonce - On The Run waliyoiachia leo (Video)

article-2631710-1DF638E900000578-927_634x406Uhalifu, Usaliti, ukatili, mapenzi na mikasi! Beyonce na Jay Z wameachia trailer ya filamu iitwayo ‘RUN’ … japo usitegemee filamu yenyewe kutoka soon.


Mume na mke huyo Jumamosi hii wamefanya surprise ya trailer ya ziara yao ya On The Run Tour, itakayoanza mwezi ujao.
article-2631710-1DF653AB00000578-246_634x584
Trailer hiyo kali yenye dakika tatu inamaliza kwa mkwara ‘coming never,’ ikiwa na maana kuwa hakutakuwa na movie yake japo ukiangalia hakuna shaka kuwa wengi wangependa iwepo.
article-2631710-1DF66DF000000578-894_634x327
article-2631710-1DF636E400000578-570_634x339

article-2631710-1DF644B700000578-327_634x349
Kwa namna ilivyo inaonesha kuwa imegharimu pesa nyingi hasa kwa kushirikisha mastaa kibao kwenye filamu wakiwemo Sean Penn, Don Cheadle, Guillermo Díaz, Emmy Rossum, Jake Gyllenhaal, Blake Lively, Rashida Jones na Kidada Jones.

Post a Comment

أحدث أقدم