Msanii wa Hip Hop kutoka Manzese, Nay Wa Mitego amesema kuwa
Tanzania nzima hakuna msanii anayefanya Hip Hop zaidi yake na Profesa J
zamani kwakuwa sasa amechuja.
“Unajua kwamba ukitaka kurekebisha kitu ,ukiangalia fulani atazungumza nini,make sure unaenda straight hukosei au hukiuki maadili. Mimi huwa naongea ukweli kwasababu maisha labda niliyoishi sijawai kufundishwa kumuogopa mtu kwamba muogope mtu fulani no! Unatakiwa kumheshimu mtu. Niliambiwa mheshimu mtu. Muziki wangu unaniruhusu kufanya kile kitu ninachokifanya. Huwezi ukasema Diamond au Christian Bella akaimba huu muziki ninaoufanya mimi au mimi nikafanye anachofanya kwenye muziki wake ni kitu ambacho hakiwezekani. Hip Hop inaruhusu kuimba chochote kile kilicho kwenye uhalisia. Ndo maana nikathubutu kusema hapa bongo nzima hakuna mtu anafanya Hip Hop zaidi yangu mimi. Labda Profesa J zamani siku hizi naye I don’t know labda kibiashara zaidi ndio maana nikasema mimi naimba naisha ya watu,naimba vitu ambavyo vipo,Hip Hop ni ukombozi wa watu, unapoweka mafumbo, mafumbo tumuachie Mrisho Mpoto,Hip Hop hainaga hizo,” Nay aliiambia Global TV.

إرسال تعليق