New Track:- Ice Prince ‘Tears for Naija’

Ice-Prince-Tears-for-Naija-May-2014-BellaNaija.com_-600x600
Kama walivyo wananchi wa nchini Nigeria na dunia nzima kutokana na utekaji wa wasichana uliofanyika nchini humo na waasi wa kiislam wa Boko Haram. Msanii ICE PRINCE ametoa nyimbo kwa ajili ya issue hiyo iitwayo ‘Tears For Naija’ Ambayo inetengenezwa na producer ‘Samny Gyang’
Check it out!


Post a Comment

أحدث أقدم