Video ya wimbo mpya wa Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ itatambulishwa
jioni hii kwenye kituo cha TV cha MTV Base kwenye show yake ya Best of
Spanking New. Pia kwa mara ya kwanza video hiyo itachezwa kwenye ukumbi
wa Club Bilicanas kwenye show ya Road to MAMA ambapo kundi la Mi Casa
Music, Sauti Sol na Diamond watatumbuiza.Video hiyo ilifanyika jijini London na iliongozwa na Moe Musa.
إرسال تعليق