FUNIKA
mbaya! maelfu ya mashabiki wa Atletico Madrid wameshangilia usiku kucha
baada ya timu yao kubeba ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza ndani ya
miaka 18.
Mashabiki hao walifunga mitaa
ya mji mkuu wa Hispania, Madrid ambapo ndio makao makuu ya Atletico
Madrid huku wakimshangilia kocha mkuu, Diego Simeone.


إرسال تعليق