Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa
siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake
‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel,
Bomboclat. Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja.
Proffesor Jay,Jose Chameleon ,Lamar na Villy wakiwa studio
Profesa J na Jose Chameleone katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es Salaam hivi karibuni
Proffesor Jay,Jose Chameleon ,Lamar na Villy wakiwa studio
Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: Ndani ya Mwanalizombe Studio
usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer
villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED, Dar East African HEAVY WEIGHTS,
Stay Tuned,mpaka waombe poooh !!!!”
Profesa J na Jose Chameleone katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es Salaam hivi karibuni
Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za Kili ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki.
إرسال تعليق