Rasmi:- Kim na Kanye wafunga ndoa, Jay Z na Beyonce waipotezea harusi yao!

0524-kimye-just-married-fun-art-01
0524_dress_launch 
Kim Kardashian amekuwa Mrs. West rasmi leo baada ya kufunga ndoa na Kanye West.
article-2638252-1E26AF4500000578-868_634x565
Mastaa hao wamefunga pingu za maisha kwenye harusi private iliyofanyika juu ya mlima Fort di Beleverdre huko Florence, Italia mbele za ndugu na marafiki zao.
Hata hivyo marafiki wakubwa wa Kanye, Jay Z na mke wake Beyonce hawakuwepo kwenye harusi hiyo.
Awali ilisemekana kuwa Jay Z angekuwa mpambe wa Kanye kwenye harusi hiyo kwakuwa wawili hao ni marafiki wa karibu.
article-2638252-1E2BCD2D00000578-859_634x605 Beyonce alipost picha hii muda ambao Kanye na Kim walikuwa wakifunga ndoa

Post a Comment

أحدث أقدم