Picha juu na chini Aneth Kushaba AK47 akiongoza Divas wa Skylight Band kuwapa raha mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar. Usikose jioni yale ucheze Kariakoo na style kibao mpya za Skylight Band ikiwemo “Kikuku huyo Kwiyo Kwiyo”
DSC_0018
DSC_0024
Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band sambamba na Aneth Kushaba AK47.
DSC_0038
Hashim Donode na  Winfrida Richard wakitoa burudani huku wakisindikizwa na Digna Mbepera.
DSC_0073
Mashabiki wa Skylight Band wakifanya yao.
DSC_0058
Sam Mapenzi akiwapagiwisha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0075
Pichani juu na chini ni mashabiki wa Skylight Band wakionekana kukunwa na burudani ya band hiyo.
DSC_0091
 Burudani ikiendelea.
DSC_0095
Kwa raha zetu babu….!
DSC_0100
Digna Mbepera akitoa burudani ndani ya Thai Village.
DSC_0108
 Joniko Flower akiwasebenesha wapenzi wa Skylight Band.
DSC_0114
Sugua sugua mpaka utakate….Style mpya ya Skylight Band ikifuatishwa na mashabiki wa bendi hiyo.
DSC_0115
Watu wewe….. imebamba hiyo…!!
DSC_0127
Hata kwenye mduara pia tumo…!
DSC_0131
Rappa Joniko Flower na Wnifrida Richard wakiwajibika jukwaani.
DSC_0155
Amos Kinanda akifanya yake.
DSC_0178
Palifurikaje…
DSC_0191
Mashabiki wa Skylight Band wakichizika na wimbo wa Happy
DSC_0209
DSC_0213
Because I’m happy…Clap along if you feel like a room without a roof…Because I’m happy…!!
DSC_0214
 Clap along if you feel like a room without a roof…Because I’m happy…!!
DSC_0175
Aneth Kushaba AK47 na Msanii Shilole wakipata Ukodak.
DSC_0268
DSC_0221
Wanamanyoya wakipata Ukodak.
DSC_0187
Digna Mbepera na Winfrida Richard wakipata Ukodak backstage.
DSC_0160
 Picha juu na chini mashabiki wa Skylight wakipata Ukodak.
DSC_0162
DSC_0243
DSC_0305
Wanamanyoya katika picha ya pamoja.
DSC_0285
Alois Ngonyani akionyesha mbwembwe zake kwa baadhi ya wanamanyoya.
DSC_0288
Picha juu na chini Sam Mapenzi akishow love na fans wake.
DSC_0311