Picha juu na chini Aneth Kushaba AK47 akiongoza Divas wa Skylight Band kuwapa raha mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar. Usikose jioni yale ucheze Kariakoo na style kibao mpya za Skylight Band ikiwemo “Kikuku huyo Kwiyo Kwiyo”
Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band sambamba na Aneth Kushaba AK47.
Hashim Donode na Winfrida Richard wakitoa burudani huku wakisindikizwa na Digna Mbepera.
Mashabiki wa Skylight Band wakifanya yao.
Sam Mapenzi akiwapagiwisha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Pichani juu na chini ni mashabiki wa Skylight Band wakionekana kukunwa na burudani ya band hiyo.
Burudani ikiendelea.
Kwa raha zetu babu….!
Digna Mbepera akitoa burudani ndani ya Thai Village.
Joniko Flower akiwasebenesha wapenzi wa Skylight Band.
Sugua sugua mpaka utakate….Style mpya ya Skylight Band ikifuatishwa na mashabiki wa bendi hiyo.
Watu wewe….. imebamba hiyo…!!
Hata kwenye mduara pia tumo…!
Rappa Joniko Flower na Wnifrida Richard wakiwajibika jukwaani.
Amos Kinanda akifanya yake.
Palifurikaje…
Mashabiki wa Skylight Band wakichizika na wimbo wa Happy
Because I’m happy…Clap along if you feel like a room without a roof…Because I’m happy…!!
Clap along if you feel like a room without a roof…Because I’m happy…!!
Aneth Kushaba AK47 na Msanii Shilole wakipata Ukodak.
Wanamanyoya wakipata Ukodak.
Digna Mbepera na Winfrida Richard wakipata Ukodak backstage.
Picha juu na chini mashabiki wa Skylight wakipata Ukodak.
Wanamanyoya katika picha ya pamoja.
Alois Ngonyani akionyesha mbwembwe zake kwa baadhi ya wanamanyoya.
Picha juu na chini Sam Mapenzi akishow love na fans wake.
إرسال تعليق