"Ni
muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mienendo ya mume wangu
kutokana na tabia yake kubadilika sana siku za hivi karibuni,
nikabaini kuwa kuna msichana anawasiliana naye kwa kutumiana
meseji za mapenzi, sikuwa na haraka nikaamua kufanya uchunguzi
wangu kimyakimya"
"Wiki
iliyopita mume wangu akiwa amekwenda kuoga akasahau kuzima
simu yake,na siyo kawaida yake kuacha simu yake bila
kuizima,mara meseji ikaingia,nikaangalia nikaona jina la mtumaji
amesevu Bofya Hapa kuendelea Kusoma
إرسال تعليق