Stamina na Baucha wanatarajia kuachia nyimbo zao mpya hivi
karibuni. Baada ya kukaa kimya kwa muda, rapper Stamina ataachia ngoma
yake mpya ‘Mguu Pande Mguu Sawa’ Alhamis hii. Katika wimbo huo
uliotayarishwa na producer Tiddy Hotter, Stamina amemshirikisha Walter
Chilambo.

Naye Baucha ataachia ngoma yake iitwayo ‘Champidodo hivi karibuni na iliyofanyika kwenye studio yake, Baucha Records.

إرسال تعليق