Kikosi
cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichotoa sare ya
0-0 na Malawi jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya katika mchezo wa
kirafiki.
Mshambuliaji wa Taifa, John Bocco akimtoka beki wa Malawi
Kiungo wa Stars, Frank Domayo akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya mechi jana
Kiungo wa Stars, Amri Kiemba akijiandaa kupiga mpira mbele ya mchezaji wa Malawi
إرسال تعليق