Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada kwa wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari jana.
Mmoja
wa wachambuzi wa sera wa TGNP Mtandao, Agnes Lukaya akiwasilisha
matokeo ya tafiti mbalimbali za TGNP zilizofanywa kwa jamii.
Aliyekuwa
Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Usu Mallya (kushoto) akiwasilisha mada yake
kwa wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa TGNP na wahariri
hao.
Juu
ni baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada
anuai zinazowasilishwa na wataalamu wa masuala ya uchambuzi wa bajeti
kwa mrengo wa kijinsia.
Mada ikiwasilishwa na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao.
Juu ni wahariri wakichangia mada anuai katika mkutano huo.
Uwasilishaji mada kwa hisia! Mmoja wa wadau wa TGNP akiendesha mjadala mara baada ya mada kwenye mkutano huo.
Mkutano wa TGNP na wahariri wa habari kuzungumzia uchambuzi wa bajeti kwa muktadha wa kijinsia.
إرسال تعليق