TOUR YA KUMUENZI THE LATE NGWAIR INAKUJA .


Msanii chipkizi wa muziki wa kizazi kipya Rodrick Kasongwa aka Pick-R ambaye kwa sasa ame-realese ngoma mpya ambayo inafahamika kwa jina la ‘Nipe Nafasi’. Mbali na hayo msanii huyo ni jirani, pia ni rafiki wa Mama yake Late Albert Mangwear. kwa ukaribu mkubwa walio nao Pick R wakati akipiga Story na Mwandish wa Bk ali funguka juu ya mpango mzito unaofuatiliwa baina yake na Mama yake CowBama.
“Nimeona ni shirikiane na Mama yake Albert Mangwear ili maisha yake yaweze kusogea mbele coz hali yake si shwari kimaisha so nilikanae tuka plan project ambayo itakuwa ni ya kumuenzi Ngwair.
Tume plan tukusanye nyimbo zote za Marehemu Albert Ngwiar ambazo zilikuwa hazijatoka ili tuzitengenezee Albums, kwa ajili ya Business ya Mama yake. Pia tutakuwa tukizunguka na wasanii ambao wanamfeel Marehemu kwa ajili ya show kila Mkoa. kifupi itakuwa kama Fiesta.” alisema Pick R

Post a Comment

Previous Post Next Post