
Msanii chipkizi wa muziki wa kizazi kipya Rodrick Kasongwa aka
Pick-R ambaye kwa sasa ame-realese ngoma mpya ambayo inafahamika kwa
jina la ‘Nipe Nafasi’. Mbali na hayo msanii huyo ni jirani, pia ni
rafiki wa Mama yake Late Albert Mangwear. kwa ukaribu mkubwa walio nao
Pick R wakati akipiga Story na Mwandish wa Bk ali funguka juu ya mpango
mzito unaofuatiliwa baina yake na Mama yake CowBama.
“Nimeona ni shirikiane na Mama yake Albert Mangwear ili maisha yake
yaweze kusogea mbele coz hali yake si shwari kimaisha so nilikanae tuka
plan project ambayo itakuwa ni ya kumuenzi Ngwair.
Tume plan tukusanye nyimbo zote za Marehemu Albert Ngwiar ambazo
zilikuwa hazijatoka ili tuzitengenezee Albums, kwa ajili ya Business ya
Mama yake. Pia tutakuwa tukizunguka na wasanii ambao wanamfeel Marehemu
kwa ajili ya show kila Mkoa. kifupi itakuwa kama Fiesta.” alisema Pick R
إرسال تعليق