Ukahaba na watoto Malindi - Video

140515043926_utalii_wa_ngono_wanawiri__malindi_kenya_512x288_bbc_nocredit_81e0b.jpgWatoto wa kike wenye hadi umri wa miaka kumi na miwili, wanalaghaiwa na kuchagizwa kuingia katika ukahaba. Katika mji unaoonekana kama peponi, Malindi uliopo kwenye pwani ya
Kenya, kisirisiri unaendesha biashara ya ngono kwa watoto. Watalii huwa tayari kulipa fedha ili kufanya ngono katika maeneo ya mwambao.
Anne Soy anatarifu kutoka Malindi.


Post a Comment

أحدث أقدم