UTEPE MWEUPE WAZUNGUMZA NA WABUNGE JUU YA HUDUMA ZA AFYA - PICHA

  Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage nae akisoma vipeperushi hivyo.
 Baadhi ya wabunge wakisoma vipeperushi vilivyotolewa na mtandao wa utepe mweupe na Uzazi salama mjini Dodoma jana. Semina hiyo ililenga kuwaomba Wabunge kuunga mkono bajeti yenye kipengele kinacholenga huduma za uzazi za dharula ikiwa na pamoja na upasuaji na damu salama katika vituo vya afya.
  Wabunge wakifuatilia kwa umakini senmina hiyo.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana (kushoto) akizunghumza jambo na Mratibu wa Taifa wa  mtandao wa Utepe Mweupe na Uzazi salama , Rose Mlay  mjini Dodoma jana. Semina hiyo ililenga kuwaomba Wabunge kuunga mkono bajeti yenye kipengele kinacholenga huduma za uzazi za dharula ikiwa na pamoja na upasuaji na damu salama katika vituo vya afya.
Msanii wa Mashairi, Mrisho Mpoto maarufu Mjomba, akighani mashairi yake wakati Semina ya Wabunge iliyolenga kuwaomba Wabunge kuunga mkono bajeti yenye kipengele kinacholenga huduma za uzazi za dharula ikiwa na pamoja na upasuaji na damu salama katika vituo vya afya. Semina hiyo iliandaliwa na mtandao wa utepe mweupe na Uzazi salama mjini Dodoma jana.

Post a Comment

أحدث أقدم