VOTE:- Diamond Platnumz, MTV na BET.

20140520-025902.jpg

Diamond Platnumz msanii kutoka Tanzania ambae amekuwa nominated kwenye Awards kubwa sana za muziki duniani kama BET na MTV, hivi karibuni maelekezo ya MTV Awards ya jinsi ya kumpigia kura yaliyoka na watanzania kuombwa kwa hali na
mali kuweza kumsadia mtanzania mwenzetu bila kujali itikadi ya usanii au ushabiki.
BET Awards haina nafasi ya mashabiki kupiga kura kwa msanii mnaemtaka, ila kuna jopo la members 500 ambao wanachakuliwa rasmi kwa ajili ya kuwapigia kura wasanii hao ambapo Tanzania tunawakilishwa na msanii na mtangazaji wa radio na TV ‘Vennesaa Mdee’ #VeeMoney. Kumekuwa na habari zikitembea kuhusiana na swala la online link ya kumpigia kura msanii Diamond na kusambaa kwa kasi, taarifa hiyo so ya ukweli na tunaomba wananchi waelekeze macho yao na upigaji kura kwenye mashindano ya MTV Awards, ambayo yanafanyika siku za usoni.
20140520-030004.jpg

Post a Comment

Previous Post Next Post