Will & Jada Smith, wakemea tabia za binti yao, Willow.

will_smith_jada_smith_144483359
Msanii mwigizaji maarufu duniani Will Smith na mkewe Jada Pinket – Smith wamesema hawajapendezwa na picha zilizoonekana mitandaoni, zikimuonyesha mtoto wao wa kike  ‘Willow’ (13) akiwa kitandani na mwanaume mwenye umri wa miaka 20, kitu ambacho hawakupendezewa kabisa.
.Screen Shot 2014-05-06 at 10.58.08 PM
Chanzo cha habari kimesema Mr. Will & Jada Smith huwa wanajipanga sama na kuwa makini katika ukuzaji wa watoto wao, wasingependa kuona Willow au Jaden wanafanya vitu kinyume na maadili na kufanya familia yao ionekane haina maadili kwa jamii. Picha hizo zinadhalilisha familia yake hivyo kuonekana kama haina malezi mazuri kwa watoto, kitu ambacho sio kweli.
Will Smith ni msanii mwenye vipaji vingi sana kama Music, Actor, Comedian, Producer na Director ambae bibie Jada Smith ni Actor wa muda mrefu tokea enzi za Movie ijulikanayo ka a ‘Set it Off’ aliyofanya na mwanadada Queen Latifah. Wazazi hawa wamebalikiwa kuwa na watoto ambao na wamefata vipaji vya wazazi hao ambapo ‘Jaden Smith’ ni muimbaji ambae ameshatoa nyimbo ikachukua headlines na ni Actor tayari ambae amefanya movie zaidi ya moja na mastaa wa film duniani kama ‘Jackie Chan’ na baba yake ‘Will Smith’. ‘Willow Smith’ nae hajabaki nyuma ni muimbaji ambae ameshatoa nyimbo zilizoingia mpaka kwenye billibord charts za muziki duniani kama ‘Whip My Hair’.

Post a Comment

أحدث أقدم