ASANTE ya AMINI itakuwa EXCLUSIVE Release only on MKITO 12.06.2014



Amini eng release day
MKITO ni website ambayo inakuja kwa kwa kasi sana kwa hivi sasa hapa Tanzania na inajishughulisha na uuzaji wa nyimbo za wasanii bila kubagua ni nyimbo gani kuanzia Bongo Fleva, Nyimbo za dini, Taarabu nakadhalika.
Amini ni moja wapo ya wasanii wanaotarajia kutoa wimbo wake mpya kesho kutwa na wimbo huu utaupata kupitia Mkito kwa kudownload FREE au kuununu. Sasa kwenye kudownload free kutakuwa na kitu kama tangazo linaanza mwanzo kabisa kwenye wimbo lakini ukitaka kuununua wimbo huu basi hutosikia kabisa kitu chochote katika wimbo huo namaanisha tangazo. Na bei yake ni ndogo kabisa hebu fanya kama unaingia huku www.mkito.com ili kujifunza mengi mengi

Post a Comment

أحدث أقدم