Wakazi
wa eneo la Sakina mkoani arusha jana walipatwa na mshtuko mkubwa bada ya
kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa
amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani
mwake

wakazi hao
wakaanza kumvizia chatu huyo na kutaka kumpiga lakini utata ukaibuka
baada ya kudaiwa mama mwenye nyumba hiyo kusema wasimuue kwani ni mtoto
wake,Lakini majirani hao hawakukubali ndipo walimkamata na kumuua kwa
kumkata kata viapande.


Kitambaa chenye maandishi mekundu kilichokuwa kimefungwa mkiani kwa nyoka huyo

Chatu akiwa amekatwa katwa vipande baada ya kuwawa
Post a Comment