Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa amezindua video ya wimbo wale
Uzinduzi wa ‘Chereko Chereko’ Jumapili hii (8/6/2014) ndani ya New
Maisha Club. Pia kulifanyika utambulisho rasmi wa kundi la “Wadananda”
na wimbo wao mpya uitwao “Kidaluso”. Hizi ni picha za uzinduzi huo
zikiwemo zile za red carpet.(Bongo5)

























Cpwaa akishafanya Showa



















Wadananda






Msami Mzee wa Sound Track







Dullayo




Wakazi









Papaa Masia






Post a Comment