Diamond Platinumz alikuwa mshiriki kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za
MTV MAMA mwaka huu na kwa bahati mbaya hakushinda tuzo katika vipengele
vyote viwili. Alivyokuwa akiwania.
Msanii
mkongwe Profesa Jay ambaye anakumbukwa kwa kufanya mapinduzi kwenye
muziki na kuwashawishi wazazi kuwaruhusu watoto wao kuimba kupitia kazi
zake, amemuandikia ujumbe Diamond kupitia Instagram hiki ndicho alichokiandika ___ Bofya Hapa Kusoma
Post a Comment