DEREVA BODA BODA MWINGINE AFA KWA AJALI IRINGA




Mwenyekiti   wa  chama  cha Boda boda na Bajaji Iringa mjini  Joseph Mwambope akiongoza  zoezi la upigaji kura za  wazi kuamua kwenda  kuzika ama kutokwenda leo ambapo wengi  waliunga mkono kwenda na kulazimika kukataa msimamo wa familia ambao  ulitaka  waishie nyumbani eneo la Frelimo


Waombolezaji madereva boda boda  wakiwa wameubeba mwili wa mwenzao Frank Luvanga aliyezikwa leo kijiji cha Mkaa kata ya Ifunda.

Marehemu enzi za uhai wake (francisblog)

Post a Comment

Previous Post Next Post