Kiukweli naweza kusema
kuwa “G-Unit is Back” kutokana na ngoma walioachia ghafla kwenye event
ya “Summer Jam” ya HOT 97 huko nchini marekani ambayo hufanyika kila
mwaka wakati wa summer inapoanza. Wakiwa wamerudi team nzima na kuongeza
rapper mwingine ajulikanae kama ‘KIDD KIDD’, G-Unit ikiwa na 50 Cent,
Lloyd Banks, Young Buck na Tony Yeyo, wametoa ngoma ambayo inasemekana
ipo ndani ya Album ya 50 Cent “Animal Ambition” ambayo inatoka LEO (June
3, 2014)

إرسال تعليق