Hili Jipya Jamani:- Wazungu waleta kipindi cha TV kuonyesha Wanawake wanaojifungulia porini - Angalia Picha Hapa.
Hisia0
Kampuni ya Lifetime ya nchini Marekani imetangaza kipindi kipya cha
Televisheni kitakachoonyesha wazazi vijana wakijifungua porini bila
msaada wa madaktari wakati wa hatua zote za kujifungua lakini pia
hawatakuwa na malazi yoyote katika eneo hilo.
Post a Comment