Ukimtaka kumpata Irine Uwoya, Hivi ndio Vigezo alivyoviweka.

Mwanaume akitaka kumvuta kwake Irine Uwoya, Vigezo viko hapa
Sina uhakika kama mapenzi ni machaguo au ni zali na hayana formula, of course mimi sio mtaalam wa saikolojia na mahusiano. Ila naamini kati ya hayo kuna jibu.
uwoya 2
Muigizaji wa kike mwenye umbo matata na sura yenye mvuto, Irine Uwoya ana machaguo yake na ameweka wazi sifa za mwanaume ambaye anaweza kumvutia/kutamani kuwa nae.
“Awe kijana mzuri asiye na kitambi.” Uwoya ameliambia jarida la VibeTz lililotoka leo.
Hata hivyo, mrembo huyo mtoto mmoja ameshanyakuliwa na Msami ndio mwenye bahati.
Uwoya hakusita kujivunia mkwanja alionao. Aliambiwa kuchagua kwa sasa kati ya umaarufu na mtonyo alichagua umaarufu na kueleza kuwa ‘mtonyo anao mwingi tu’.

Post a Comment

Previous Post Next Post