Hivi ndivyo Ndoa Ilivyombadili Kim Kardashian katika Uvaaji!

Kufunga ndoa sio kitu kipya kwa mrembo Kim Kardashian, lakini ni kitu kipya kwake kuwa mama wa mtoto aliye ndani ya ndoa.

Kim K
Baada ya kufunga ndoa na Kanye West May 24, inawezekana amebadilisha kabisa aina ya uvaaji wake. Kim ameonekana juzi Los Angeles akiwa amevaa gauni refu lililofunika sehemu kubwa ya mwili wake hadi miguuni.
Kwa waliotegemea kumuona Kim K wa zamani ndani ya mavazi yake, walikuwa surprised.
ANGALIA PICHA ZA UVAAJI WAKE SIKU HIZI HAPA

Post a Comment

Previous Post Next Post