Kufunga ndoa sio kitu kipya kwa mrembo Kim Kardashian, lakini ni kitu kipya kwake kuwa mama wa mtoto aliye ndani ya ndoa.

Baada ya kufunga ndoa na Kanye West May 24, inawezekana amebadilisha
kabisa aina ya uvaaji wake. Kim ameonekana juzi Los Angeles akiwa amevaa
gauni refu lililofunika sehemu kubwa ya mwili wake hadi miguuni.
ANGALIA PICHA ZA UVAAJI WAKE SIKU HIZI HAPA
إرسال تعليق