
Mchana wa leo mamia ya Watanzania
walifurika katika viwanja vya Leaders Club kuuaga mwili wa Directer
Geogre Tyson aliyeaga dunia Ijumaa iliyopita maeneo ya Gairo kwa ajali
mbaya ya gari. Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Sadik M. Sadik
akizungumza na wafiwa pamoja na waombolezaji waliofika katika viwanja
hivyo.

Pichani kuanzia kushoto ni Mama mzazi wa
Mboni Masimba halafu Mboni mwenyewe pamoja na mtoto wa marehemu anaitwa
Sonia akiwa na mama yake Monalisa.
Post a Comment