
“Think Like a MAN Too,
2014″ ni “Comedy film” yenye dakika 106 ambayo ni muendelezo wa wa
movie “Think Like a MAN 2012″ ambayo ilitokana na kitabu (Novel) “Act
Like A Lady, Think Like A Man” kilichoandikwa na
“Author/Comedian/Actor/Writer Steve Harvey” ambacho kitabu hicho
kilitoka mwaka 2009.

“Think Like a Man TOO 2014″ ni film ambayo imekuwa Directed na TIM
SORY ambae ndio alifanya ya kwanza, imewakutanisha mastaa wengi sana
kwenye CAST ambao pia walikuwa kwenye ile movie ya kwanza kama Michael
Ealy, Jerry Ferrara, Meagan Good, Regina Hall, Kevin Hart, Terrence J,
Taraji P. Henson, Romany Malco na Gabrielle Union.

Movie hii inatarajiwa kutoka 20 June 2014 katika Cinema Duniani kote
na inategemewa kuwa moja ya film itakayoangaliwa sana na watu wengi
kutokana na “cast” pamoja na mafanikio makubwa ya mauzo kwanza ilifanya
vizuri sana ambapo Budget ya utengenezaji wa Movie hiyo ilikuwa $12
million na kuingiza kiasi cha dola za kimarekani kwenye “Box office”
$96,070,507.

THINK LIKE A MAN TOO 2014.
PLOT: “All the couples are back for a wedding in Las Vegas, but
plans for a romantic weekend go awry when their various misadventures
get them into some compromising situations that threaten to derail the
big event”

Post a Comment