Mtoto
wa mfalme wa R&B, Robert Kelly aliyezaa na muigizaji Andrea Kelly
aliyewahi kuwa mke wake ameipinga jinsia yake na kujiunga na kundi la
watu wanaoishi kwa mtazamo tofauti na jinsia zao na kujibadilisha kuwa
jinsia tofauti japo sio kwa kubadili viungo vya uzazi (Transgender/FTM).
Mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 14 anaefahamika kwa jina la
Jaya Kelly, hivi sasa anaitwa Picha/Maelezo Bofya Hapa
إرسال تعليق